yikaboy.co.tz
Loading...

LYRICS: Maua Sama - Amen Ft Ben Pol | DOWNLOAD


Lyrics Maua Sama Ft Ben Pol - Amen

LYRIC FILE:

 Lyrics DOWNLOADINTROO….

Aaah Aaahh   Aaahh  Aaah….!!
Aaah Aaahh   Aaahh  Aaah (Yeeeh)!!
Aaahh   Aaahh  Aaahh  Aaah  Aaah Aaah!! X 2

[AbbaaH]

Verse 1:
Beib Wajuwaaaa, Leo Ninafuraha  Beibeeh ennh!!!
And You Is All I Want, And I Don’t Need Some 1 Else
Beibehh..!!!

{Eeennh} BEN POL
Nipe Nipende Kipekee, Nitunze Kwa Moyo Wote
Nami Mapenzi  Nikupe, Sikuachi Hata Sekunde

{CHORUS}

Nahisia Zangu Zakuhitaji, Uingiee Moyooni
Nawe uwe Mwanga Wangu Kumulika,  Unitowee Gizani
Kwa Sababuni, (Niweee Eehh Eehh Tu) X 2
Nimpendaee (Niwewee Ennh tu)
Ohh…Dailly

Kwa sababu (Niwewe wewe tu) X 2, Nimpendae (Niwewe wewetu)
I feal
Hatubariki Amenn!!, Na Atulinde Ameen!!
Atulinde Amenn!!, Atuongoze Amenn!!
Milele Yote Amen, Wote Tuseme Amen!!

[TRUMPETS]

VERSE 2:
Unadhani  Sikufai
Leo Wameshanga, Nisiku yetu Maaa Bebe.!!
Ndoto imekuwa, Hata Familia Wana Furahii Maa Bebebe!!
Vile Umeniwai, Wote Wanigai Shingoni Kama Tai
Taii Taii Ennh!!!

Na Leo Najidaii, Heshima Ulionipa
Ya Kuwa Muwenzi  wako Milelee
Daimaaah Mamaa Wee
Takulindaa …!! Mamama Weee
Sina Sababu Mama Weeee
Yakukutenda

Moyo Wangu Ni Wako
Nime Kukabidhi Pekeakoo
Weweee…!!!!
Fungua Wa Kwako, Nifurahie Pendo Lako

REPEAT CHORUS,,

Nahisia Zangu Zakuhitaji, Uingiee Moyooni
Nawe uwe Mwanga Wangu Kumulika,  Unitowee Gizani
Kwa Sababuni, (Niweee Eehh Eehh Tu) X 2
Nimpendaee (Niwewee Ennh tu)
Ohh…Dailly

Kwa sababu (Niwewe wewe tu) X 2, Nimpendae (Niwewe wewetu)
I feal
Hatubariki Amenn!!, Na Atulinde Ameen!!
Atulinde Amenn!!, Atuongoze Amenn!!
Milele Yote Amen, Wote Tuseme Amen!!

THE MIX KILLER [JINGLE]…

 

CLICK LINK BELOW (DOWNLOAD AUDIO)


DOWNLOAD AUDIO HAPA: 

 

Loading...

No comments

Powered by Blogger.